Habari
-
Dk Msonde atembelea NCC
Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde ametembelea Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) kujifunza mambo mbalimbali kuhusu baraza hilo na kufahamiana na watumishi ikiwemo menejimenti, kwa ajili ya ushirikiano na uongozi bora.
Sep 30, 2024 Soma zaidi -
Serikali ya Dk Samia kuendelea kuinua Wanawake-Waziri Mkuu
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa, amesema Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, itaendelea kuinua wanawake nchini, katika nyanja zote.
Mar 11, 2024 Soma zaidi -
Majengo ya Serikali Kuwekewa Viwango Maalum
Kwa muda mrefu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikijengamajengo yake kwa kutumia wataalam mbalimbali kutoka katika sekta ya ujenzi nchini.
Feb 14, 2024 Soma zaidi -
KAMATI UWEZESHAJI WA WAZAWA SEKTA YA UJENZI YAPEWA MWEZI MMOJA
Waziri wa Ujenzi, Mhe.Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa Kuongeza Ushiriki wa Wazawa katika Miradi ya Ujenzi
Feb 14, 2024 Soma zaidi -
‘Hatua ya awali ya uandaaji Sheria ya Majengo yakamilika’
BARAZA la Taifa la Ujenzi (NCC) linaloratibu mchakato wa maandalizi ya Sheria ya Majengo nchini, limekamilisha hatua ya awali ya maandalizi ya sheria hiyo kwa kuandaa andiko dhana na kulikabidhi Wizara ya Ujenzi kwa hatua zaidi.
Dec 21, 2023 Soma zaidi -
Bashungwa: Wakandarasi Wazawa Washirikishwe Fursa za Kiuchumi
Serikali imezitaka taasisi chini ya Wizara ya Ujenzi kuhakikisha Wakandarasi Wazawa wanapewa kipaumbele katika kushiriki kwenye fursa za kiuchumi.
Oct 02, 2023 Soma zaidi