Dhima na Dira

Dhima na Dira

Dhima ya Taasisi  

Kuhamasisha na kuongoza maendeleo ya Sekta ya Ujenzi nchini Tanzania hususan kwa kujenga uwezo wa taasisi, makampuni na wataalam wa ndani. 

Dira  

Kuwa Taasisi ya mfano katika kuongoza ukuaji na maendeleo ya sekta ya ujenzi yenye uwezo endelevu wa kutoa huduma na bidhaa kwa ufanisi na tija na kushindana Kimataifa.