Habari
-
‘Hatua ya awali ya uandaaji Sheria ya Majengo yakamilika’
BARAZA la Taifa la Ujenzi (NCC) linaloratibu mchakato wa maandalizi ya Sheria ya Majengo nchini, limekamilisha hatua ya awali ya maandalizi ya sheria hiyo kwa kuandaa andiko dhana na kulikabidhi Wizara ya Ujenzi kwa hatua zaidi.
Dec 21, 2023 Soma zaidi -
Bashungwa: Wakandarasi Wazawa Washirikishwe Fursa za Kiuchumi
Serikali imezitaka taasisi chini ya Wizara ya Ujenzi kuhakikisha Wakandarasi Wazawa wanapewa kipaumbele katika kushiriki kwenye fursa za kiuchumi.
Oct 02, 2023 Soma zaidi -
Serikali Kuweka Miongozo ya Ujenzi Majengo Nchini
Serikali inaandaa miongozo itakayotumika katika ujenzi wa majengo nchini ili kuhakikisha usalama, afya na ustawi kwa wanaotumia majengo hayo na jamii kwa ujumla.
May 08, 2023 Soma zaidi -
‘Usuluhishi nje ya Mahakama tiba ya mrundikano wa kesi’
KWA kipindi kirefu mahakama nchini zimekuwa na changamoto ya mrundikano wa kesi mbalimbali, ambazo kwa namna moja au nyingine zingeweza kutafutiwa ufumbuzi nje ya mahakama, hivyo kuupunguzia mhimili huo mzigo usio wa lazima, pamoja na kusababisha upatikanaji wa haki kwa haraka.
Apr 27, 2023 Soma zaidi -
NCC na Vyombo vya Habari, Dodoma
NCC na Vyombo vya Habari Maelezo, Dodoma
Feb 13, 2023 Soma zaidi -
‘Mafunzo yanayoendeshwa na NCC yanatujenga’
WADAU wa Sekta ya Ujenzi wanaoshiriki mafunzo mbalimbali yanayotolewa na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), wamesema mafunzo hayo yana faida kubwa kwa wengi, kwa sababu yanawajenga kwa kuongeza uelewa wao, hivyo kuchochea weledi wao kazini.
Feb 10, 2023 Soma zaidi