Wajumbe wa Bodi ya NCC Pamoja na Menejimenti ya NCC wakiwa katika kikao cha ufunguzi na semina elekezi kwa wajumbe wa bodi wa NCC na mkutano wa 110 wa Baraza.
Kikao hicho kimelenga kuwajengea uelewa wajumbe wa bodi ya NCC kuhusu majukumu, taratibu na mwelekeo wa taasisi.