Fahirisi za Gharama za Ujenzi
Fahirisi za Gharama za Ujenzi
Tangu 1990 Baraza limekuwa likizalisha fahirisi za gharama za rasilimali watu na vifaa vya ujenzi. Fahirisi hizi hulenga kufuatilia mabadiliko ya mara kwa mara ya bei za vifaa pamoja na malipo ya rasilimali watu katika miradi ya ujenzi. Baraza huandaa na kutunza taarifa za kila mwezi za gharama za rasilimali watu, Nondo, Mafuta, Mbao Ngumu, Mbao Laini, Kokoto, Saruji, Rangi, Chuma ‘Z’ Purlin, Mabomba ya Mabati na …..