Tunu za Taasisi

Tunu za Taasisi

Katika kutekeleza dira, dhima na majukumu yake, Baraza linaongozwa na tunu zifuatazo:

  •  Huduma Bora
  •  Uadilifu
  •  Ushirikiano
  •  Ubunifu
  •  Weledi
  •  Uwazi
  •  Uwajibikaji     

  Kanuni

  •  Kutambua na kukubali wajibu wetu kwa taifa wa kuhakikisha kuwa miradi ya miundombinu ya kijamii na kiuchumi   inaendelezwa na kudumishwa kwa ufanisi ili kutimiza malengo yaliyokusudiwa.
  •  Kutoa miongozo, uwajibikaji na uwezo kwa tasnia, katika kuhakikisha ufanisi na uchumi vinapatikana.
  •  Kutoa huduma bora kwa wateja kwa ufanisi.
  •  Kujiendeleza kiteknolojia katika kutoa huduma bora.
  •  Kuongeza ujuzi na uzoefu kwa wafanyakazi wetu kupitia mafunzo mbalimbali
  •  Kuwapatia wadau wa sekta ya ujenzi fursa sawa katika kutekeleza majukumu yao.