Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Atembelea NCC
Jan, 24 2018Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa akizungumza na wafanyakazi wa baraza la Taifa la Ujenzi wakati alipowatembelea kwa lengo la kujitambulisha na kuongea nao kwa mala ya kwanza jijjni Dar es salaam katika ukumbi wa mikutano wa baraza tarehe 21/11/2017