Utangulizi

Utangulizi

Baraza la Taifa la Ujenzi ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya Bunge namba 20 ya mwaka 1979 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2008. (“National Construction Council Act, CAP 162, R.E. 2008”).Baraza lilianzishwa ili kusimamia maendeleo ya sekta ya ujenzi.

Dira

Kutoa uongozi mkakati unaolenga katika maendeleoya sekta ya ujenzi kwa kutilia mkazo ukuzaji wa uwezo wa ndani.