NCC Katika Maonesho ya Wahandisi 2018

News Image Sep, 14 2018

Watumishi wa Baraza la Taifa la Ujenzi wakiwa katika maonesho ya Wahandisi yaliyoandaliwa na Bodi ya Wahandisi Tanzania (ERB) katika ukumbi wa Diamond Jubilee tarehe 5 - 7 Septemba 2018 katika jiji la Dar es Salaam.