Habari

 • news image

  Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake NCC wasapoti maneno ya Samia

  ​WAKATI Dunia ikisherehekea Siku ya Wanawake, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amewataka waajiri wote nchini kutambua heshima ya mwanamke katika sehemu za kazi pamoja na kuwajali.

  Mar 12, 2021 Soma zaidi
 • news image

  Wajumbe wa Bodi NCC, Menejimenti watembelea mradi mkubwa wa umeme Rufiji

  ​WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) pamoja na menejimenti ya baraza hilo wametembelea mradi mkubwa wa kuzalisha umeme uliopo Rufiji mkoani Pwani na kujionea au kujifunza mambo mengi yaliyowathibitishia kuwa utakamilika kama ilivyopangwa katikati ya mwaka ujao.

  Feb 02, 2021 Soma zaidi
 • news image

  Tutazingatia maadili ya Utumishi wa Umma-NCC

  ​MAOFISA wanaoshughulika na masuala ya maadili ya Utumishi wa Umma kutoka Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora) wametoa mafunzo ya maadili kwa wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) jana na kuwakumbusha mambo muhimu wanayopaswa kuyazingatia.

  Dec 17, 2020 Soma zaidi
 • news image

  Salamu za Pongezi kwa Mhandisi, Dk Leonard Chamuhiro-Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi

  BODI ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), Menejimenti na Wafanyakazi wote wa baraza hili, tunayofuraha kukupongeza Injinia, Dk. Leonard Chamuhiro kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi. Hongera sana.

  Dec 15, 2020 Soma zaidi
 • news image

  Dk Matiko: Watumishi wasipelekwe kozi ilimradi

  MTENDAJI Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) Dk Matiko Samson Mturi, amewataka Wakuu wa Vitengo katika baraza hilo kuhakikisha wanaruhusu watumishi kushiriki mafunzo yenye tija kwao na taasisi, na wala si vinginevyo.

  Nov 30, 2020 Soma zaidi
 • news image

  PONGEZI

  Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) linakupongeza Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kwa kuteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

  Nov 13, 2020 Soma zaidi