Habari

 • news image

  Tutazingatia maadili ya Utumishi wa Umma-NCC

  ​MAOFISA wanaoshughulika na masuala ya maadili ya Utumishi wa Umma kutoka Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora) wametoa mafunzo ya maadili kwa wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) jana na kuwakumbusha mambo muhimu wanayopaswa kuyazingatia.

  Dec 17, 2020 Soma zaidi
 • news image

  Salamu za Pongezi kwa Mhandisi, Dk Leonard Chamuhiro-Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi

  BODI ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), Menejimenti na Wafanyakazi wote wa baraza hili, tunayofuraha kukupongeza Injinia, Dk. Leonard Chamuhiro kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi. Hongera sana.

  Dec 15, 2020 Soma zaidi
 • news image

  Dk Matiko: Watumishi wasipelekwe kozi ilimradi

  MTENDAJI Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) Dk Matiko Samson Mturi, amewataka Wakuu wa Vitengo katika baraza hilo kuhakikisha wanaruhusu watumishi kushiriki mafunzo yenye tija kwao na taasisi, na wala si vinginevyo.

  Nov 30, 2020 Soma zaidi
 • news image

  PONGEZI

  Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) linakupongeza Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kwa kuteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

  Nov 13, 2020 Soma zaidi
 • news image

  NCC -TAMICO yapata viongozi

  CHAMA cha Wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC-TAMICO) kimepata viongozi wapya wiki hii,baada ya waliokuwa wakikiongoza kumaliza muda wao wa uongozi.

  Nov 12, 2020 Soma zaidi
 • news image

  PONGEZI

  HONGERA MHESHIMA RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI NA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUCHAGULIWA KUINGOZA TENA TANZANIA

  Nov 11, 2020 Soma zaidi