Je, unafahamu kuwa namna jengo linavyosanifiwa, kujengwa na kutumika inaweza kupunguza matumizi ya nishati bila kuathiri ubora, usalama au faraja ya watumiaji?
Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati kupitia mradi wa Implementation of the Tanzania Energy Efficiency Action Plan uliofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), limeandaa Energy Efficiency Building Code (EEBC) kama sehemu ya Tanzania Building Code.
Katika toleo hili la kwanza la NCC Technical Bulletin, utajifunza kuhusu:
✔ Maana ya Ufanisi wa Nishati kwenye Majengo
✔ Umuhimu wa Energy Efficiency Building Code.
✔ Faida zake kwa sekta ya ujenzi na wananchi.
✔ Mambo muhimu yaliyomo kwenye Kanuni hiyo.