Habari

  • news image

    Changamoto sekta ya ujenzi kupata ufumbuzi Leo.

    Baraza la Taifa la ujenzi limekutana na wadau wa sekta ya ujenzi kujadili fursa mbalimbali pamoja na changamoto zilizopo katika sekta ya ujenzi kwa lengo la kuimarika na kuendelea kuzidi kujenga uchumi wa nchi hasa katika kipindi hiki ambacho nchi inajikita katika uchumi wa Viwanda

    Jan 15, 2018 Soma zaidi