Habari
-
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Atembelea NCC
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa akizungumza na wafanyakazi wa baraza la Taifa la Ujenzi wakati alipowatembelea kwa lengo la kujitambulisha na kuongea nao kwa mala ya kwanza jijjni Dar es salaam katika ukumbi wa mikutano wa baraza tarehe 21/11/2017
Jan 24, 2018 Soma zaidi -
Changamoto sekta ya ujenzi kupata ufumbuzi Leo.
Baraza la Taifa la ujenzi limekutana na wadau wa sekta ya ujenzi kujadili fursa mbalimbali pamoja na changamoto zilizopo katika sekta ya ujenzi kwa lengo la kuimarika na kuendelea kuzidi kujenga uchumi wa nchi hasa katika kipindi hiki ambacho nchi inajikita katika uchumi wa Viwanda
Jan 15, 2018 Soma zaidi