Huduma Zetu
Huduma Zetu
Fahirisi za Gharama za Ujenzi

Fahirisi za Gharama za Ujenzi

Fahirisi za Gharama za Ujenzi Tangu 1990 Baraza limekuwa likizalisha fahirisi za gharama za rasilimali watu na vifaa vya ujenzi. Fahirisi hizi hule...

Learn More
Usuluhishi wa Migogoro

Usuluhishi wa Migogoro

Usuluhishi wa Migogoro (Dispute Resolution) Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) limekuwa likiratibu utatuzi wa migogoro katika sekta ya ujenzi tangu mw...

Learn More
Mafunzo

Mafunzo

Mafunzo yatolewayo na baraza yanalenga kuboresha uwezo na utendaji wa watendaji katika Sekta ya Ujenzi katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Ma...

Learn More
Utafiti

Utafiti

Utafiti Kazi za utafiti zinazolenga katika kutambua matatizo mbalimbali na ufumbuzi wake yanayohusiana na sekta ya ujenzi kwa ujumla, ni mojawapo y...

Learn More
Kaguzi za kiufundi

Kaguzi za kiufundi

Ubora wa mradi haupaswi kubahatishwa. Iwe ni jengo, barabara, daraja, mradi wa maji, mashine, mitambo au mifumo mbalimbali, huduma za Ukaguzi wa Ki...

Learn More
Huduma za Ushauri wa kitaalamu.

Huduma za Ushauri wa kitaalamu.

HUDUMA ZA USHAURI WA KITAALAMU. Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) hutoa huduma za ushauri wa kitaalamu katika maeneo mbalimbali yanayohusiana na utek...

Learn More