NCC yapongezwa kuendesha vikao vya Baraza la Wafanyakazi kwa wakati

News Image Dec, 21 2020

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), Profesa Mayunga Nkunya, ameitaka Menejimenti ya NCC, pamoja na wafanyakazi wa baraza hilo kuhakikisha wanatekeleza maagizo yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi), Elius Mwakalinga mapema iwezekanavyo na kwa usahihi.