Kununua Nyaraka za Ujenzi

1. Lipia nyaraka unayohitaji kupitia bank kwa kutumia namba ya akaunti ifuatayo: 20601100003 NATIONAL CONSTRUCTION COUNCIL, NMB BANK.

2. Njoo ofisi za NCC pamoja slip ya malipo.

3. Utapewa nyaraka zako pamoja na stakabadhi.