Taarifa ya Kuhama Ofisi

Baraza la Taifa la Ujenzi linapenda kuwajulisha wananchi wote kuwa, tumehama kutoka MTAA WA AZIKIWE na kuhamia JENGO LA SAMORA TOWER MTAA WA MANSFIELD GHOROFA YA 11. Baraza linaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano
Baraza la Taifa la Ujenzi